Friday, August 10, 2012

 
Ndugu Mtanzania ni lazima kila mmoja wetu atambue athari zinazotokana na mabadiliko ya hali ya Tabia nchi, kwani tumekuwa katika msukumo mgumu wa kupoteza uasilia wa maisha yetu kwa namna moja au nyingine. Kupambana na Tatizo hili ni lazima kila mwananchi atambue jinsi gani ya kupambana na mabadiliko haya. Jukumu ni la kwetu sote tusiiachie serikari na Jumuhia nyingine. Fuatalia Blog hii mara kwa mara uone ni jini gani Tunaweza kupambana na hili janga.

Imetayalishwa na Envirofamily Tanzania 2012






No comments:

Post a Comment